The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 1 › Mathayo 1:7

Mathayo 1:7

Solomoni akamzaa Rehoboamu, 2 Rehoboamu akamzaa Abiya, 2 Abiya akamzaa Asa, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Solomon begat Roboam; and Roboam begat Abia; and Abia begat Asa;

In Context

6Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. 1 Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 2

8Asa akamzaa Yehoshafati, 2 Yehoshafati akamzaa Yoramu, + 1:8 Yoramu ndiye Yehoramu, maana yake ni Yehova yu juu. 2 Yoramu akamzaa Uzia, 2

Read all of Mathayo 1

Cross References

1 Kings 14:31Naye Rehoboamu akalala na baba zake, na akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mama yake aliitwa Naama, ambaye alikuwa Mwamoni. Naye Abiya + 14:31 Maandishi mengine ya Kiebrania yanamwita Abiyamu. mwanawe akawa mfalme baada yake.

1 Chronicles 3:10Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu, 2 mwanawe huyo alikuwa Abiya, 2 mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, 2 mwanawe huyo alikuwa Asa, 2

2 Chronicles 12:1Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu.

2 Chronicles 14:1Naye Abiya akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Asa mwanawe akawa mfalme baada yake. Katika siku zake, nchi ikawa na amani kwa miaka kumi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 1:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 1:6Mathayo 1Mathayo 1:8 →