2 Nyakati 12:14
Rehoboamu akatenda maovu kwa sababu hakuuelekeza moyo wake katika kumtafuta Bwana Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he did evil, because he prepared not his heart to seek the LORD.
In Context
Cross References
Deuteronomy 5:29Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
1 Chronicles 29:18Ee Bwana, Mungu wa baba zetu Abrahamu, Isaki na Israeli, weka shauku hii ndani ya mioyo ya watu wako daima na uifanye mioyo yao iwe na uaminifu kwako.
2 Chronicles 19:3Hata hivyo, kuna mema yaliyoonekana kwako, kwa kuwa umeondoa katika nchi nguzo za Ashera na umeukaza moyo wako katika kumtafuta Mungu.” 1 Yehoshafati Aweka Waamuzi
Psalms 57:7Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; 2 nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote. 1
Psalms 78:37mioyo yao haikuwa thabiti kwake, 2 wala hawakuwa waaminifu katika agano lake. 1
Isaiah 45:19Sijasema sirini, 2 kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; 1 sijawaambia wazao wa Yakobo, 2 ‘Nitafuteni bure.’ 1 Mimi, Bwana, nasema kweli; 2 ninatangaza lililo sahihi. 1