2 Chronicles 12:2
Kwa sababu hawakuwa waaminifu kwa Bwana, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 2:13kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
1 Kings 14:24Walikuwepo hata wanaume mahanithi wa mahali pa ibada za sanamu katika nchi; watu wakajiingiza katika kutenda machukizo ya mataifa ambayo Bwana aliyafukuza mbele ya Waisraeli.
2 Chronicles 7:19“Lakini kama ukigeuka na kuyaacha maagizo na amri nilizowapa na kwenda kuitumikia miungu mingine na kuiabudu,
2 Chronicles 24:18Wakaacha Hekalu la Bwana, Mungu wa baba zao, wakaabudu nguzo za maashera na sanamu. Kwa sababu ya hatia yao, hasira ya Mungu ikawajia Yuda na Yerusalemu.
Nehemiah 9:26“Lakini hawakukutii nao wakaasi dhidi yako, wakatupa sheria zako nyuma yao. Wakawaua manabii wako, waliowaonya ili wakurudie, na wakafanya makufuru makubwa.
Isaiah 63:10Lakini waliasi, 2 na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wake. 1 Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, 2 na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao. 1