2 Chronicles 12:3
Akiwa na magari ya vita 1,200 na wapanda farasi 60,000 na idadi isiyohesabika ya majeshi ya Walibia, Wasukii na Wakushi + 12:3 Yaani watu kutoka sehemu ya Naili ya juu. yaliyokuja pamoja naye kutoka Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Akateka miji ya Yuda yenye ngome akaendelea mpaka Yerusalemu.
Cross References
Genesis 10:6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1
Judges 6:5Walipanda na mifugo yao na mahema yao, mfano wa makundi ya nzige. Ilikuwa haiwezekani kuwahesabu watu na ngamia zao; wakavamia nchi ili kuiharibu.
2 Samuel 10:18Lakini Waaramu wakakimbia mbele ya Israeli, naye Daudi akawaua waendesha magari mia saba na askari wao wa miguu 40,000. Vilevile alimpiga Shobaki jemadari wa jeshi lao, naye akafa huko.
2 Chronicles 14:9Zera Mkushi akatoka kupigana dhidi yao akiwa na jeshi la watu maelfu ya maelfu na magari ya vita 300, nao wakaja mpaka Maresha.
2 Chronicles 16:8Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea Bwana yeye aliwatia mkononi mwako.
Ezekiel 30:5Kushi + 30:5 Kushi ndiyo Ethiopia. na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya + 30:5 Libya ndiyo Kubu. na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.