2 Chronicles 13:3
Abiya aliingia vitani na jeshi la watu 400,000 wenye uwezo wa kupigana, naye Yeroboamu akapanga jeshi dhidi ya Abiya akiwa na jeshi la watu 800,000 wenye uwezo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 17:1Wakati huu Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.
2 Chronicles 11:1Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba ya Yuda na ya Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.
2 Chronicles 17:14Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: 1 Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu: 2 Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 2