The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 17 › 2 Chronicles 17:1

2 Chronicles 17:1

Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake na akajiimarisha dhidi ya Israeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jehoshaphat his son reigned in his stead, and strengthened himself against Israel.

In Context

2Akaweka jeshi katika miji yote ya Yuda yenye ngome na kuweka askari walinzi katika Yuda na katika miji ya Efraimu ile ambayo baba yake Asa alikuwa ameiteka.

Read all of 2 Chronicles 17

Cross References

1 Kings 15:24Kisha Asa akalala pamoja na baba zake na kuzikwa pamoja nao katika mji wa Daudi baba yake. Naye Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Nadabu Mfalme Wa Israeli

2 Kings 1:17Hivyo akafa, sawasawa na lile neno la Bwana ambalo Eliya alikuwa amesema. Kwa kuwa Ahazia hakuwa na mwana, Yoramu + 1:17 Yoramu ni namna nyingine ya kutaja jina Yehoramu. akawa mfalme baada yake katika mwaka wa pili wa Yehoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda.

2 Chronicles 12:1Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu.

2 Chronicles 32:5Hezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo + 32:5 Milo maana yake Boma la Ngome. katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.

Matthew 1:8Asa akamzaa Yehoshafati, 2 Yehoshafati akamzaa Yoramu, + 1:8 Yoramu ndiye Yehoramu, maana yake ni Yehova yu juu. 2 Yoramu akamzaa Uzia, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 17:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
2 Chronicles 172 Chronicles 17:2 →