The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 1 › Matthew 1:8

Matthew 1:8

Asa akamzaa Yehoshafati, 2 Yehoshafati akamzaa Yoramu, + 1:8 Yoramu ndiye Yehoramu, maana yake ni Yehova yu juu. 2 Yoramu akamzaa Uzia, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Asa begat Josaphat; and Josaphat begat Joram; and Joram begat Ozias;

In Context

7Solomoni akamzaa Rehoboamu, 2 Rehoboamu akamzaa Abiya, 2 Abiya akamzaa Asa, 2

9Uzia akamzaa Yothamu, 2 Yothamu akamzaa Ahazi, 2 Ahazi akamzaa Hezekia, 2

Read all of Matthew 1

Cross References

1 Kings 22:2Lakini katika mwaka wa tatu Yehoshafati mfalme wa Yuda akashuka kwenda kumwona mfalme wa Israeli.

2 Kings 8:16Katika mwaka wa tano wa Yoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli, wakati huo Yehoshafati akiwa mfalme wa Yuda, Yehoramu mwana wa Yehoshafati akaanza kutawala kama mfalme wa Yuda.

2 Kings 15:1Katika mwaka wa ishirini na saba wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Azaria mwana wa Amazia mfalme wa Yuda alianza kutawala.

2 Chronicles 17:1Yehoshafati mwanawe akawa mfalme baada yake na akajiimarisha dhidi ya Israeli.

2 Chronicles 26:1Kisha watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, nao wakamfanya mfalme mahali pa Amazia baba yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 1:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 1:7Matthew 1Matthew 1:9 →