2 Nyakati 17:16
aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita; 2
17Kutoka Benyamini: 2 Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao; 2
Cross References
Judges 5:9Moyo wangu u pamoja na wakuu wa Israeli, 2 pamoja na wale wanaojitoa wenyewe 2 kwa hiari yao miongoni mwa watu. 2 Mhimidini Bwana! 1
1 Chronicles 29:14“Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako.
Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1
2 Corinthians 8:12Kwa kuwa kama nia ya kutoa ipo, kitolewacho kinakubalika kulingana na kile mtu alicho nacho, wala si kwa kile ambacho hana.