The Bible Software
bible.softwareWaamuziWaamuzi 5 › Waamuzi 5:9

Waamuzi 5:9

Moyo wangu u pamoja na wakuu wa Israeli, 2 pamoja na wale wanaojitoa wenyewe 2 kwa hiari yao miongoni mwa watu. 2 Mhimidini Bwana! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My heart is toward the governors of Israel, that offered themselves willingly among the people. Bless ye the LORD.

In Context

8Walipochagua miungu migeni, 2 vita vilikuja katika malango ya mji, 1 hapakuonekana ngao wala mkuki 2 miongoni mwa mashujaa 40,000 katika Israeli. 1

10“Nanyi mpandao punda weupe, 2 mkiketi juu ya matandiko ya thamani, 2 nanyi mtembeao barabarani, 1 fikirini

Read all of Waamuzi 5

Cross References

Judges 5:2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza, 2 wakati watu wanapojitoa 2 kwa hiari yao wenyewe: 2 mhimidini Bwana! 1

2 Chronicles 17:16aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000. 1

Psalms 103:2Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, 2 wala usisahau wema wake wote, 1

2 Corinthians 8:3Kwa maana nashuhudia kwamba wao walitoa kwa kadiri wawezavyo, hata na zaidi ya uwezo wao, kwa hiari yao wenyewe,

2 Corinthians 8:17Si kwamba Tito amekubali tu ombi letu, bali anakuja kwenu akiwa na shauku kuliko wakati mwingine, tena kwa hiari yake mwenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 5:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 5:8Waamuzi 5Waamuzi 5:10 →