2 Nyakati 18:16
Ndipo Mikaya akajibu, “Niliona Israeli wote wametawanyika vilimani kama kondoo wasio na mchungaji, naye Bwana akasema, ‘Watu hawa hawana bwana. Mwache kila mmoja aende nyumbani kwa amani.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 2:7Sasa basi, kuweni hodari na mashujaa, kwa maana bwana wenu Sauli amekufa, nayo nyumba ya Yuda imenitia mafuta niwe mfalme juu yao.” 1 Vita Kati Ya Nyumba Ya Daudi Na Sauli
1 Kings 22:17Ndipo Mikaya akajibu, “Niliona Israeli wote wametawanyika vilimani kama kondoo wasio na mchungaji, naye Bwana akasema, ‘Watu hawa hawana bwana. Mwache kila mmoja aende nyumbani kwa amani.’ ”
2 Kings 10:3mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako, na umweke juu ya kiti cha enzi cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.”
Jeremiah 23:1“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Bwana.
Ezekiel 34:8Kwa hakika kama niishivyo, asema Bwana Mwenyezi, kwa sababu kondoo zangu wamekosa mchungaji na hivyo wametekwa nyara na kuwa chakula cha wanyama wote wa mwituni na kwa sababu wachungaji wangu, hawakuwatafuta kondoo zangu, bali wachungaji wamejitunza wenyewe, nao hawakuwalisha kondoo zangu,
Zechariah 13:7“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1