The Bible Software
bible.softwareZechariahZechariah 13 › Zechariah 13:7

Zechariah 13:7

“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Awake, O sword, against my shepherd, and against the man that is my fellow, saith the LORD of hosts: smite the shepherd, and the sheep shall be scattered: and I will turn mine hand upon the little ones.

In Context

6Ikiwa mtu atamuuliza, ‘Majeraha haya yaliyo mwilini mwako ni ya nini?’ Atajibu, ‘Ni majeraha niliyoyapata katika nyumba ya rafiki zangu.’ 1 Mchungaji Apigwa, Nao Kondoo Watawanyika 1

8katika nchi yote,” asema Bwana, 2 “theluthi mbili watapigwa na kuangamia; 2 hata hivyo theluthi moja watabaki ndani yake. 1

Read all of Zechariah 13

Cross References

Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1

Jeremiah 47:6“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, 2 utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? 1 Rudi ndani ya ala yako; 2 acha na utulie.’ 1

Ezekiel 21:9“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Upanga, upanga, 2 ulionolewa na kusuguliwa: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zechariah 13:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zechariah 13:6Zechariah 13Zechariah 13:8 →