2 Chronicles 20:11
tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupa sisi kuwa urithi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:7Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu Bwana aliyekuwa amemtokea.
Deuteronomy 4:38aliwafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi na kuwaleta ninyi katika nchi yao na akawapa ninyi kuwa urithi wenu, kama ilivyo leo.
Judges 11:23“Basi kwa kuwa Bwana, Mungu wa Israeli, amewafukuza Waamori watoke mbele ya watu wake Israeli, wewe unayo haki gani ya kuitamalaki?
Psalms 35:12Wananilipa baya kwa jema 2 na kuiacha nafsi yangu ukiwa. 1
Psalms 83:5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, 2 wanafanya muungano dhidi yako, 1
Jeremiah 18:20Je, mema yalipwe kwa mabaya? 2 Lakini wao wamenichimbia shimo. 1 Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako 2 na kunena mema kwa ajili yao, 2 ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao. 1