2 Chronicles 20:12
Ee Mungu wetu, je, wewe hutawahukumu? Kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kukabiliana na jeshi hili kubwa linalokuja kutushambulia. Sisi hatujui la kufanya, bali macho yetu yanakutazama wewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupa sisi kuwa urithi.
13Watu wote wa Yuda pamoja na wake zao, watoto wao na wadogo wao wakasimama pale mbele za Bwana.
Cross References
Deuteronomy 32:36Bwana atawahukumu watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake 1 atakapoona nguvu zao zimekwisha 2 wala hakuna yeyote aliyebaki, 2 mtumwa au aliye huru. 1
1 Samuel 3:13Kwa kuwa nilimwambia kwamba ningehukumu jamaa yake milele kwa sababu ya dhambi aliyoijua, wanawe kumkufuru Mungu, naye akashindwa kuwazuia.
2 Samuel 14:11Huyo mwanamke akasema, “Basi mfalme na amwombe Bwana Mungu wake ili kuzuia mlipiza kisasi cha damu kuongeza juu ya uharibifu, ili kwamba mwanangu asije akaangamizwa.” Mfalme akasema, “Hakika kama aishivyo Bwana, hakuna unywele mmoja wa kichwa cha mwanao utakaoanguka chini.”
2 Kings 6:15Kesho yake asubuhi na mapema, mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi, pamoja na farasi na magari ya vita, likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu, bwana wangu! Tutafanya nini?”
Psalms 7:8Bwana na awahukumu kabila za watu. 1 Nihukumu Ee Bwana, 2 kwa kadiri ya haki yangu, 1 kwa kadiri ya uadilifu wangu, 2 Ewe Uliye Juu Sana. 1
Psalms 25:15Macho yangu humwelekea Bwana daima, 2 kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa 2 miguu yangu kutoka mtego. 1