2 Chronicles 23:16
Kisha Yehoyada akafanya agano kwamba yeye na watu wote na mfalme watakuwa watu wa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 5:2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.
Deuteronomy 29:1Haya ndiyo maneno ya Agano Bwana aliyomwagiza Mose kufanya na Waisraeli huko Moabu, kuwa nyongeza ya Agano alilofanya nao huko Horebu.
Joshua 24:21Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Bwana.”
2 Chronicles 15:12Wakafanya agano kumtafuta Bwana, Mungu wa baba zao kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote.
2 Chronicles 15:15Yuda wote wakafurahia kile kiapo kwa sababu walikuwa wameapa kwa moyo wao wote. Wakamtafuta Mungu kwa bidii, naye akaonekana kwao. Kwa hiyo Bwana akawastarehesha pande zote.
2 Chronicles 34:31Mfalme akasimama karibu na nguzo yake na kufanya upya Agano mbele za Bwana ili kumfuata Bwana na kuzishika amri zake, maagizo na sheria kwa moyo wake wote na kwa roho yake yote na ili kuyatii maneno ya Agano yaliyoandikwa katika kitabu hiki.