The Bible Software
bible.softwareJoshuaJoshua 24 › Joshua 24:21

Joshua 24:21

Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Bwana.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the people said unto Joshua, Nay; but we will serve the LORD.

In Context

20Ikiwa mkimwacha Bwana na kuitumikia miungu migeni, atageuka na kuwaleteeni maafa na kuwaangamiza, baada ya kuwa mwema kwenu.”

22Ndipo Yoshua akawaambia, “Ninyi mmekuwa mashahidi juu yenu wenyewe kuwa mmechagua kumtumikia Bwana.” Nao wakajibu, “Ndiyo, tu mashahidi.”

Read all of Joshua 24

Cross References

Exodus 19:8Watu wote wakajibu kwa pamoja, “Tutafanya kila kitu Bwana alichokisema.” Naye Mose akarudisha majibu yao kwa Bwana.

Exodus 24:3Mose alipokwenda na kuwaambia watu maneno yote na sheria zote za Bwana, wakaitikia kwa sauti moja, “Kila kitu alichosema Bwana tutakifanya.”

Deuteronomy 5:27Sogea karibu usikie yale yote asemayo Bwana Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho Bwana Mungu wetu anakuambia. Tutasikiliza na kutii.”

Isaiah 44:5Mmoja atasema, ‘Mimi ni wa Bwana’; 2 mwingine atajiita kwa jina la Yakobo; 1 vilevile mwingine ataandika juu ya mkono wake, ‘Wa Bwana,’ 2 na kujiita kwa jina la Israeli. 1 Ni Bwana, Siyo Sanamu 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joshua 24:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joshua 24:20Joshua 24Joshua 24:22 →