2 Nyakati 24:1
Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka arobaini. Mama yake aliitwa Sibia aliyekuwa ametoka Beer-Sheba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana miaka yote ya Yehoyada kuhani.
Cross References
2 Kings 11:21Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.
1 Chronicles 3:11mwanawe huyo alikuwa Yehoramu, 2 mwanawe huyo alikuwa Ahazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 2