2 Chronicles 25:19
Wewe unasema moyoni mwako kwamba umemshinda Edomu, nawe sasa unajigamba na kujivuna. Lakini kaa nyumbani kwako! Kwa nini utafute matatizo na kujiletea anguko lako mwenyewe na la Yuda pia?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:14basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau Bwana Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
2 Chronicles 32:25Lakini moyo wa Hezekia ukajaa majivuno na hakuonyesha itikio kwa wema aliotendewa, kwa hiyo ghadhabu ya Bwana ikawa juu yake na juu ya Yuda na Yerusalemu.
Proverbs 13:10Kiburi huzalisha magomvi tu, 2 bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 1
Proverbs 18:6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi 2 na kinywa chake hualika kipigo. 1
Proverbs 26:17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, 2 ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu. 1
Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1