Proverbs 18:6
Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi 2 na kinywa chake hualika kipigo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A fool’s lips enter into contention, and his mouth calleth for strokes.
In Context
5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, 2 au kumnyima haki asiye na hatia. 1
7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1
Cross References
Proverbs 12:16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, 2 bali mtu wa busara hupuuza matukano. 1
Proverbs 14:3Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake, 2 bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 1
Proverbs 16:27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, 2 maneno yake ni kama moto uunguzao. 1
Proverbs 17:14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; 2 kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 1
Proverbs 19:29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka 2 na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.
Proverbs 22:24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1