2 Chronicles 25:22
Yuda ikashindwa na Israeli na kila mtu akakimbilia nyumbani kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Judah was put to the worse before Israel, and they fled every man to his tent.
In Context
Cross References
1 Samuel 4:10Basi Wafilisti wakapigana, nao Waisraeli wakashindwa na kila mtu akakimbilia hemani mwake. Mauaji yalikuwa makubwa sana, Israeli wakapoteza askari 30,000 waendao kwa miguu.
2 Kings 13:12Na kwa matukio mengine ya utawala wa Yehoashi, yote aliyoyafanya na mafanikio yake, pamoja na vita yake dhidi ya Amazia mfalme wa Yuda, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?