The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 26 › 2 Chronicles 26:2

2 Chronicles 26:2

Ndiye alijenga upya Elathi kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He built Eloth, and restored it to Judah, after that the king slept with his fathers.

In Context

1Kisha watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, nao wakamfanya mfalme mahali pa Amazia baba yake.

3Uzia alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka hamsini na miwili. Mama yake aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.

Read all of 2 Chronicles 26

Cross References

2 Kings 14:22Ndiye aliijenga tena Elathi na kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake. 1 Yeroboamu Wa Pili Mfalme Wa Israeli

2 Chronicles 8:17Ndipo Solomoni akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.

2 Chronicles 25:28Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 26:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 26:12 Chronicles 262 Chronicles 26:3 →