2 Nyakati 8:17
Ndipo Solomoni akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then went Solomon to Ezion-geber, and to Eloth, at the sea side in the land of Edom.
In Context
Cross References
Numbers 33:35Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi. 1
1 Kings 9:26Mfalme Solomoni pia akatengeneza pia meli huko Esion-Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu. + 9:26 Yaani Bahari Nyekundu au Bahari ya Mafunjo.
2 Kings 14:22Ndiye aliijenga tena Elathi na kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake. 1 Yeroboamu Wa Pili Mfalme Wa Israeli
2 Chronicles 20:36Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi, + 20:36 Au: za biashara (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; Isa 2:16; 60:9 ). nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.