The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 26 › 2 Chronicles 26:7

2 Chronicles 26:7

Mungu akamsaidia dhidi ya Wafilisti na dhidi ya Waarabu walioishi Gur-Baali na dhidi ya Wameuni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God helped him against the Philistines, and against the Arabians that dwelt in Gur-baal, and the Mehunims.

In Context

6Alipigana vita dhidi ya Wafilisti na kubomoa kuta za Gathi, Yabne na Ashdodi. Kisha akajenga upya miji karibu na Ashdodi na mahali pengine katikati ya Wafilisti.

8Waamoni wakamletea Uzia ushuru, umaarufu wake ukaenea hadi kwenye mpaka wa Misri, kwa sababu alikuwa amekuwa na nguvu sana.

Read all of 2 Chronicles 26

Cross References

1 Chronicles 5:22na wengine wengi waliuawa kwa sababu vita vilikuwa ni vya Mungu. Nao waliendelea kuikalia nchi hiyo mpaka wakati wa uhamisho. 1 Nusu Ya Kabila La Manase

2 Chronicles 14:10Asa akatoka kumkabili, nao wakapanga vita katika Bonde la Sefatha karibu na Maresha.

2 Chronicles 17:11Baadhi ya Wafilisti wakamletea Yehoshafati zawadi na fedha kama ushuru, nao Waarabu wakamletea mifugo: kondoo dume 7,700 na mbuzi 7,700.

2 Chronicles 21:16Bwana akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu.

Psalms 18:29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, 2 nikiwa pamoja na Mungu wangu 2 nitaweza kuruka ukuta. 1

Isaiah 14:29Msifurahi, enyi Wafilisti wote, 2 kwamba fimbo iliyowapiga imevunjika; 1 kutoka mzizi wa huyo nyoka 2 atachipuka nyoka mwenye sumu kali, 1 uzao wake utakuwa joka lirukalo, 2 lenye sumu kali. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 26:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 26:62 Chronicles 262 Chronicles 26:8 →