Isaya 14:29
Msifurahi, enyi Wafilisti wote, 2 kwamba fimbo iliyowapiga imevunjika; 1 kutoka mzizi wa huyo nyoka 2 atachipuka nyoka mwenye sumu kali, 1 uzao wake utakuwa joka lirukalo, 2 lenye sumu kali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Neno hili lilikuja mwaka ule Mfalme Ahazi alipofariki: 1
Cross References
Joshua 13:3kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi);
2 Kings 18:8Kuanzia mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye ngome, aliwashinda Wafilisti, hadi kufikia Gaza na himaya yake yote.
2 Chronicles 28:18Pia Wafilisti walikuwa wameshambulia miji iliyokuwa chini ya vilima na katika miji ya Negebu ya Yuda. Nao wakawa wametwaa Beth-Shemeshi, Aiyaloni, Gederothi, Soko pamoja na vijiji vyake, Timna pamoja na vijiji vyake, Gimzo pia pamoja na vijiji vyake na kuishi humo.
Isaiah 11:8Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, 1 naye mtoto mdogo ataweka mkono wake 2 kwenye kiota cha fira. 1
Ezekiel 26:2“Mwanadamu, kwa sababu Tiro amesema kuhusu Yerusalemu, ‘Aha! Lango la kwenda kwa mataifa limevunjika, nayo milango yake iko wazi mbele yangu, sasa kwa kuwa amekuwa magofu nitastawi.’
Hosea 9:1Usifurahie, ee Israeli; 2 usishangilie kama mataifa mengine. 1 Kwa kuwa hukuwa 2 mwaminifu kwa Mungu wako; 1 umependa ujira wa kahaba kwenye kila sakafu 2 ya kupuria nafaka. 1