The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 27 › 2 Chronicles 27:5

2 Chronicles 27:5

Yothamu akafanya vita na mfalme wa Waamoni na kumshinda. Mwaka ule Waamoni wakamlipa talanta 100 + 27:5 Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75. za fedha, kori 10,000 + 27:5 Kori 10,000 za ngano ni sawa na tani 2.2. za ngano na kori 10,000 za shayiri. Waamoni wakamletea kiasi hicho hicho mwaka wa pili na wa tatu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He fought also with the king of the Ammonites, and prevailed against them. And the children of Ammon gave him the same year an hundred talents of silver, and ten thousand measures of wheat, and ten thousand of barley. So much did the children of Ammon pay unto him, both the second year, and the third.

In Context

4Akajenga miji katika vilima vya Yuda pamoja na ngome na minara mwituni.

6Yothamu akaendelea kuwa na nguvu kwa sababu alienenda kwa ukamilifu mbele za Bwana Mungu wake.

Read all of 2 Chronicles 27

Cross References

Judges 11:4Baada ya muda Waamoni wakafanya vita na Israeli,

2 Chronicles 20:1Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.

Jeremiah 49:1Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Je, Israeli hana wana? 2 Je, hana warithi? 1 Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? 2 Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 27:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 27:42 Chronicles 272 Chronicles 27:6 →