The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 49 › Yeremia 49:1

Yeremia 49:1

Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Je, Israeli hana wana? 2 Je, hana warithi? 1 Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? 2 Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Concerning the Ammonites, thus saith the LORD; Hath Israel no sons? hath he no heir? why then doth their king inherit Gad, and his people dwell in his cities?

In Context

2Lakini siku zinakuja,” 2 asema Bwana, 1 “nitakapopiga kelele ya vita 2 dhidi ya Raba mji wa Waamoni; 1 utakuwa kilima cha magofu, 2 navyo vijiji vinavyouzunguka 2 vitateketezwa kwa moto. 1 Kisha Israeli atawafukuza 2 wale waliomfukuza,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Deuteronomy 2:19Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.”

Judges 10:7hivyo hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Wafilisti na Waamoni,

1 Samuel 11:1Nahashi yule Mwamoni, akakwea kuuzunguka kwa jeshi mji wa Yabeshi-Gileadi. Watu wote wa Yabeshi wakamwambia, “Fanya mkataba na sisi, na tutakuwa chini yako.”

2 Kings 24:2Bwana akatuma wavamiaji wa Wakaldayo, Waaramu, Wamoabu na Waamoni ili kumshambulia. Aliwatuma kuiangamiza Yuda sawasawa na neno la Bwana lililosemwa na watumishi wake manabii.

2 Chronicles 20:23Watu wa Amoni na Moabu wakawainukia watu wa Mlima Seiri ili kuwaua na kuwaangamiza kabisa. Baada ya kumaliza kuwachinja watu wa Seiri, wakaangamizana wao kwa wao.

Nehemiah 4:7Lakini wakati Sanbalati, Tobia, Waarabu, Waamoni na watu wa Ashdodi waliposikia kuwa ukarabati wa kuta za Yerusalemu ulikuwa umeendelea na mianya ilikuwa inazibwa, walikasirika sana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Yeremia 49Yeremia 49:2 →