2 Chronicles 28:18
Pia Wafilisti walikuwa wameshambulia miji iliyokuwa chini ya vilima na katika miji ya Negebu ya Yuda. Nao wakawa wametwaa Beth-Shemeshi, Aiyaloni, Gederothi, Soko pamoja na vijiji vyake, Timna pamoja na vijiji vyake, Gimzo pia pamoja na vijiji vyake na kuishi humo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Cross References
Joshua 15:41Gederothi, Beth-Dagoni, Naama na Makeda; yote ni miji kumi na sita pamoja na vijiji vyake. 1
Judges 14:1Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti.
2 Chronicles 11:7Beth-Suri, Soko, Adulamu,
Ezekiel 16:27Hivyo nilinyoosha mkono wangu dhidi yako na kuipunguza nchi yako, nikakutia kwenye ulafi wa adui zako, binti za Wafilisti, walioshtushwa na tabia yako ya uasherati.
Ezekiel 25:15“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Wafilisti wamewalipiza kisasi kwa uovu wa mioyo yao na kwa uadui wa siku nyingi wakataka kuangamiza Yuda,