2 Nyakati 28:17
Waedomu walikuwa wamekuja tena na kuwashambulia Yuda na kuchukua mateka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For again the Edomites had come and smitten Judah, and carried away captives.
In Context
16Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Cross References
Leviticus 26:18“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
2 Chronicles 21:8Wakati wa Yehoramu, Edomu waliasi dhidi ya Yuda na kujiwekea mfalme wao wenyewe.
Ezekiel 25:12“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Edomu ulilipiza kisasi juu ya nyumba ya Yuda na kukosa sana kwa kufanya hivyo,
Obadiah 1:13Usingeingia katika malango ya watu wangu 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kuwadharau katika janga lao 2 katika siku ya maafa yao, 1 wala kunyangʼanya mali zao 2 katika siku ya maafa yao. 1