2 Nyakati 29:1
Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya.
Cross References
1 Chronicles 3:13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, 2 mwanawe huyo alikuwa Hezekia, 2 mwanawe huyo alikuwa Manase, 2
2 Chronicles 28:27Ahazi akalala na baba zake na akazikwa katika Mji wa Yerusalemu, lakini hawakumleta kwenye makaburi ya wafalme wa Israeli. Naye Hezekia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Isaiah 8:2Nami nitawaita kuhani Uria, na Zekaria mwana wa Yeberekia kama mashahidi wangu waaminifu.”
Micah 1:1Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 1