The Bible Software
bible.software1 Chronicles1 Chronicles 3 › 1 Chronicles 3:13

1 Chronicles 3:13

mwanawe huyo alikuwa Ahazi, 2 mwanawe huyo alikuwa Hezekia, 2 mwanawe huyo alikuwa Manase, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ahaz his son, Hezekiah his son, Manasseh his son,

In Context

12mwanawe huyo alikuwa Amazia, 2 mwanawe huyo alikuwa Azaria, 2 mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 2

14mwanawe huyo alikuwa Amoni 2 na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 1

Read all of 1 Chronicles 3

Cross References

2 Kings 16:1Katika mwaka wa kumi na saba wa utawala wa Peka mwana wa Remalia, Ahazi mwana wa Yothamu mfalme wa Yuda alianza kutawala.

2 Kings 18:1Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Hoshea mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi mfalme wa Yuda alianza kutawala.

1 Chronicles 4:41Watu walioorodheshwa majina walikuja katika nchi hiyo wakati wa Hezekia mfalme wa Yuda. Akawashambulia Wahamu katika makao yao pamoja na Wameuni ambao walikuwako huko nao wakawaangamiza kabisa, kama ilivyo dhahiri hadi leo. Kisha wakafanya makazi yao huko kwa sababu kulikuwa na malisho mazuri kwa ajili ya mifugo yao.

2 Chronicles 29:1Hezekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.

Matthew 1:9Uzia akamzaa Yothamu, 2 Yothamu akamzaa Ahazi, 2 Ahazi akamzaa Hezekia, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Chronicles 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Chronicles 3:121 Chronicles 31 Chronicles 3:14 →