The Bible Software
bible.software2 Nyakati2 Nyakati 29 › 2 Nyakati 29:11

2 Nyakati 29:11

Wanangu, basi msipuuze jambo hili sasa, kwa kuwa Bwana amewachagua ninyi msimame mbele zake na kumtumikia, mkawe watumishi wake na mkamfukizie uvumba.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My sons, be not now negligent: for the LORD hath chosen you to stand before him, to serve him, and that ye should minister unto him, and burn incense.

In Context

10Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kuweka Agano na Bwana, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi.

12Ndipo Walawi wafuatao wakaanza kazi: 1 Kutoka kwa Wakohathi, 2 Mahathi mwana wa Amasai na Yoeli mwana wa Azaria; 1 kutoka kwa Wamerari, 2 Kishi mwana wa Abdi na Azaria mwana wa Yahaleleli; 1 kutoka kwa Wagershoni, 2 Yoa mwana wa Zima na Edeni mwana wa Yoa; 1

Read all of 2 Nyakati 29

Cross References

Numbers 3:6“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie.

Numbers 8:6“Watwae Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli wengine na uwatakase kwa kawaida ya ibada.

Numbers 18:2Walete Walawi wenzako kutoka kabila la baba zako ili waungane nanyi na kuwasaidia wakati wewe na wanao mnapohudumu mbele ya Hema la Ushuhuda.

1 Chronicles 6:34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, 2 mwana wa Elieli, mwana wa Toa, 2

Galatians 6:7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Nyakati 29:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Nyakati 29:102 Nyakati 292 Nyakati 29:12 →