The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 29 › 2 Chronicles 29:12

2 Chronicles 29:12

Ndipo Walawi wafuatao wakaanza kazi: 1 Kutoka kwa Wakohathi, 2 Mahathi mwana wa Amasai na Yoeli mwana wa Azaria; 1 kutoka kwa Wamerari, 2 Kishi mwana wa Abdi na Azaria mwana wa Yahaleleli; 1 kutoka kwa Wagershoni, 2 Yoa mwana wa Zima na Edeni mwana wa Yoa; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then the Levites arose, Mahath the son of Amasai, and Joel the son of Azariah, of the sons of the Kohathites: and of the sons of Merari, Kish the son of Abdi, and Azariah the son of Jehalelel: and of the Gershonites; Joah the son of Zimmah, and Eden the son of Joah:

In Context

11Wanangu, basi msipuuze jambo hili sasa, kwa kuwa Bwana amewachagua ninyi msimame mbele zake na kumtumikia, mkawe watumishi wake na mkamfukizie uvumba.”

13kutoka kwa wana wa Elisafani, 2 Shimri na Yeieli; 1 kutoka kwa wana wa Asafu, 2 Zekaria na Matania; 1

Read all of 2 Chronicles 29

Cross References

Numbers 3:17Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1

Numbers 4:2“Wahesabu Wakohathi walio sehemu ya Walawi kwa koo zao na jamaa zao.

1 Chronicles 6:44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: 2 Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, 2 mwana wa Maluki,

1 Chronicles 23:7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: 2 Ladani na Shimei. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 29:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 29:112 Chronicles 292 Chronicles 29:13 →