The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 29 › 2 Chronicles 29:3

2 Chronicles 29:3

Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wa alifungua milango ya Hekalu la Bwana, na kuikarabati.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He in the first year of his reign, in the first month, opened the doors of the house of the LORD, and repaired them.

In Context

2Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya.

4Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki

Read all of 2 Chronicles 29

Cross References

2 Kings 16:14Mfalme Ahazi akayaondoa madhabahu ya zamani ya shaba kutoka hapo mbele ya Hekalu la Bwana, yaliyokuwa yamesimama kati ya ingilio la Hekalu na hayo madhabahu mapya, naye akayaweka upande wa kaskazini mwa hayo madhabahu mapya.

2 Chronicles 29:7Pia walifunga milango ya ukumbi wa Hekalu na kuzima taa zake. Hawakufukiza uvumba wala kutoa sadaka yoyote ya kuteketezwa katika mahali patakatifu kwa Mungu wa Israeli.

Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1

Matthew 6:33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 29:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 29:22 Chronicles 292 Chronicles 29:4 →