Matthew 6:33
Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 3:11Basi Mungu akamwambia, “Kwa kuwa umeomba neno hili na hukuomba maisha marefu au upate utajiri kwa nafsi yako, wala adui zako wafe, bali umeomba ufahamu katika kutoa haki,
2 Chronicles 1:7Usiku ule Mungu akamtokea Solomoni na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.”
Psalms 34:9Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, 2 kwa maana wale wamchao 2 hawapungukiwi na chochote. 1
Psalms 37:18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, 2 na urithi wao utadumu milele. 1
Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1
Proverbs 3:9Mheshimu Bwana kwa mali zako na 2 kwa malimbuko ya mazao yako yote; 1