2 Chronicles 3:17
Akazisimamisha hizo nguzo mbele ya Hekalu, moja upande wa kusini na nyingine upande wa kaskazini. Ile moja ya upande wa kusini akaiita Yakini, + 3:17 Yakini maana yake Atathibitisha. na ya upande wa kaskazini akaiita Boazi. + 3:17 Boazi maana yake Imo nguvu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 7:21Hiramu akasimamisha nguzo kwenye baraza ya Hekalu. Nguzo ya upande wa kusini akaiita Yakini, + 7:21 Yakini maana yake Mungu atafanya imara. na ile ya upande wa kaskazini Boazi. + 7:21 Boazi maana yake Ndani ya Mungu kuna nguvu.