The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 3 › 2 Chronicles 3:4

2 Chronicles 3:4

Ukumbi wa mbele wa Hekalu ulikuwa na urefu wa dhiraa ishirini, yaani, kuanzia upande mmoja hadi upande mwingine wa upana wa nyumba hiyo na kimo chake dhiraa thelathini. + 3:4 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5. Akaufunika ndani kwa dhahabu safi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the porch that was in the front of the house, the length of it was according to the breadth of the house, twenty cubits, and the height was an hundred and twenty: and he overlaid it within with pure gold.

In Context

3Msingi aliouweka Solomoni kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini + 3:3 Dhiraa 60 ni sawa na mita 27. na upana dhiraa ishirini. + 3:3 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.

5Akaufunika ukumbi mkuu kwa mbao za miberoshi na kufunikwa kwa dhahabu safi na kuupamba kwa miti ya mitende na kuifanyizia kwa minyororo.

Read all of 2 Chronicles 3

Cross References

John 10:23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.

Acts 5:12Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 3:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 3:32 Chronicles 32 Chronicles 3:5 →