bible.software › John › John 10 › John 10:23
John 10:23
Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus walked in the temple in Solomon’s porch.
In Context
22Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu + 10:22 Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu ni Hanukkah kwa Kiebrania. huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.
24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo + 10:24 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie waziwazi.”
Read all of John 10
Cross References
Acts 5:12Mitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Solomoni.
This Verse In Other Editions
Study John 10:23