bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 31 › 2 Nyakati 31:9
2 Nyakati 31:9
Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Hezekiah questioned with the priests and the Levites concerning the heaps.
In Context
8Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu Bwana na kuwabariki watu wake Israeli.
10naye Azaria aliyekuwa kuhani mkuu, kutoka jamaa ya Sadoki, akajibu, “Tangu watu walipoanza kuleta sadaka zao katika Hekalu la Bwana tumekuwa na chakula cha kutosha na vingi vya kuweka akiba kwa sababu Bwana amewabariki watu wake, hivyo tumekuwa na kiasi kingi kilichobaki.” 1 Kutambuliwa Kwa Makuhani Na Walawi
Read all of 2 Nyakati 31
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 31:9