2 Chronicles 31:8
Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu Bwana na kuwabariki watu wake Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
9Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo,
Cross References
Judges 5:9Moyo wangu u pamoja na wakuu wa Israeli, 2 pamoja na wale wanaojitoa wenyewe 2 kwa hiari yao miongoni mwa watu. 2 Mhimidini Bwana! 1
1 Kings 8:14Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.
1 Chronicles 29:9Watu wakafurahi kwa sababu ya itikio la hiari la viongozi wao, kwa kuwa walikuwa wametoa kwa hiari na kwa moyo wote kwa Bwana. Mfalme Daudi pia akafurahi sana. 1 Maombi Ya Daudi
2 Chronicles 6:3Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.
Psalms 144:15Heri watu ambao hili ni kweli; 2 heri wale ambao Bwana ni Mungu wao.
Ephesians 1:3Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki sisi kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo.