bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 35 › 2 Nyakati 35:23
2 Nyakati 35:23
Wapiga upinde wakampiga Mfalme Yosia, naye akawaambia maafisa wake, “Niondoeni, nimejeruhiwa vibaya sana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the archers shot at king Josiah; and the king said to his servants, Have me away; for I am sore wounded.
In Context
22Lakini hata hivyo, Yosia hakukubali kumwacha, bali alijibadilisha ili kupigana naye vita. Hakusikiliza yale Neko aliyokuwa amemwambia kwa agizo la Mungu bali alikwenda kupigana naye katika tambarare ya Megido.
24Kwa hiyo wakamshusha kutoka kwenye gari lake la farasi, wakamweka kwenye gari lingine alilokuwa nalo na kumleta Yerusalemu, ambako alifia. Akazikwa katika makaburi ya baba zake, nayo Yuda yote na Yerusalemu wakamwombolezea Yosia.
Read all of 2 Nyakati 35
Cross References
1 Kings 22:34Lakini mtu fulani akavuta upinde pasipo lengo na kumpiga mfalme wa Israeli katikati ya kiungio cha mavazi yake ya chuma. Mfalme akamwambia mwendesha gari lake, “Geuza gari na uniondoe mimi katika mapigano, nimejeruhiwa.”
2 Kings 9:24Kisha Yehu akatwaa upinde wake na kumchoma Yoramu katikati ya mabega. Mshale ukapenya kwenye moyo wake, naye akaanguka ghafula ndani ya gari lake.
Lamentations 3:13Alinichoma moyo wangu kwa mishale 2 iliyotoka kwenye podo lake. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 35:23