Lamentations 3:13
Alinichoma moyo wangu kwa mishale 2 iliyotoka kwenye podo lake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath caused the arrows of his quiver to enter into my reins.
In Context
12Amevuta upinde wake 2 na kunifanya mimi niwe lengo 2 kwa ajili ya mishale yake. 1
14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, 2 wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 1
Cross References
Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1