2 Nyakati 36:1
Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 23:31Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia kutoka Libna.
1 Chronicles 3:15Wana wa Yosia walikuwa: 2 Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, 2 Yehoyakimu mwanawe wa pili, 2 wa tatu Sedekia, 2 wa nne Shalumu. 1
2 Chronicles 33:25Kisha watu wa nchi wakawaua wale wote waliokuwa wamefanya hila dhidi ya Mfalme Amoni. Wakamfanya Yosia mwanawe kuwa mfalme mahali pake.
Ezekiel 19:3Alimlea mmoja wa watoto wake, 2 naye akawa simba mwenye nguvu. 1 Akajifunza kurarua mawindo 2 naye akala watu. 1