1 Nyakati 3:15
Wana wa Yosia walikuwa: 2 Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, 2 Yehoyakimu mwanawe wa pili, 2 wa tatu Sedekia, 2 wa nne Shalumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14mwanawe huyo alikuwa Amoni 2 na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 1
Cross References
2 Kings 24:17Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia. 1 Sedekia Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:11-12; Yeremia 52:1-3)
2 Chronicles 36:10Mnamo majira ya vuli, Mfalme Nebukadneza akatuma watu, nao wakamleta Babeli, pamoja na vyombo vya thamani kutoka Hekalu la Bwana. Naye akamfanya Sedekia, ndugu yake Yehoyakimu kuwa mfalme wa Yuda na Yerusalemu. 1 Mfalme Sedekia Wa Yuda (2 Wafalme 24:18-20; Yeremia 52:1-3)
Jeremiah 22:18Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda: 1 “Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, ndugu yangu! Ole, umbu langu!’ 1 Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, bwana wangu! Ole, fahari yake!’ 1
Jeremiah 26:1Mwanzoni mwa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilikuja kutoka kwa Bwana: