bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 4 › 2 Chronicles 4:17
2 Chronicles 4:17
Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda. + 4:17 Au Sarethani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the plain of Jordan did the king cast them, in the clay ground between Succoth and Zeredathah.
In Context
16pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana. Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
18Vitu hivi vyote Mfalme Solomoni alivyotengeneza vilikuwa vingi sana hivi kwamba uzito wa shaba haungekadirika.
Read all of 2 Chronicles 4
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 4:17