2 Chronicles 4:16
pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana. Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la Bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake; 1
Cross References
Exodus 38:3Akatengeneza vyombo vyake vyote kwa shaba: vyungu vyake vya kuondolea majivu, masepetu, mabakuli ya kunyunyizia, uma za nyama na vyombo vya kuchukulia moto.
1 Kings 7:13Mfalme Solomoni akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,
1 Chronicles 18:8Kutoka miji ya Tibhathi na Kuni, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Daudi akatwaa shaba nyingi sana, ambayo Solomoni aliitumia kutengenezea ile Bahari ya shaba, zile nguzo na vifaa mbalimbali vya shaba.
2 Chronicles 2:13“Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,
Zechariah 14:20Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: Takatifu kwa Bwana, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya Bwana vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.