The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 4 › 2 Chronicles 4:20

2 Chronicles 4:20

vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya sehemu takatifu ya ndani kama ilivyoelekezwa; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Moreover the candlesticks with their lamps, that they should burn after the manner before the oracle, of pure gold;

In Context

19Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza za kuweka mikate ya Wonyesho; 1

21maua ya dhahabu yaliyofanyizwa, taa na makoleo (vilikuwa vya dhahabu bora kabisa); 1

Read all of 2 Chronicles 4

Cross References

Exodus 25:31“Tengeneza kinara cha taa cha dhahabu safi iliyofuliwa vizuri katika kitako chake na ufito wake; vikombe vyake vinavyofanana na ua, matovu yake na maua yake viwe kitu kimoja.

Exodus 27:20“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake mfululizo.

1 Kings 6:16Akagawa dhiraa ishirini sehemu ya nyuma ya Hekalu kwa mbao za mierezi kuanzia kwenye sakafu hadi darini ili kufanya sehemu takatifu ya ndani, yaani Patakatifu pa Patakatifu.

2 Chronicles 4:7Akatengeneza vinara vya taa kumi vya dhahabu kama ilivyoainishwa kwao na kuviweka hekaluni, vinara vitano upande wa kusini na vitano upande wa kaskazini.

Psalms 28:2Sikia kilio changu unihurumie 2 ninapokuita kwa ajili ya msaada, 1 niinuapo mikono yangu kuelekea 2 Patakatifu pa Patakatifu pako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 4:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 4:192 Chronicles 42 Chronicles 4:21 →