2 Chronicles 4:19
Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza za kuweka mikate ya Wonyesho; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 25:23“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 25:23 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Exodus 37:25Akatengeneza madhabahu ya kufukizia uvumba kwa mbao za mshita. Ilikuwa ya mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, na kimo cha dhiraa mbili, nazo pembe zake zilikuwa kitu kimoja nayo.
1 Kings 7:48Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho; 1
2 Kings 25:13Wakaldayo walivunja vipande zile nguzo za shaba, vile vishikilio vya shaba vilivyohamishika, na ile Bahari ya shaba, ambavyo vyote vilikuwa katika Hekalu la Bwana. Hivyo wakaichukua hiyo shaba na kuipeleka Babeli.
2 Chronicles 2:3Solomoni akapeleka ujumbe huu kwa Mfalme Hiramu wa Tiro: “Unitumie magogo ya mierezi kama ulivyomfanyia baba yangu Daudi wakati ulipompelekea mierezi ya kujenga jumba lake la kifalme la kuishi.
2 Chronicles 26:16Lakini baada ya Uzia kuwa na nguvu sana, majivuno yake yakamsababishia kuanguka. Alikosa uaminifu kwa Bwana Mungu wake, naye akaingia hekaluni mwa Bwana ili afukize uvumba kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba.