2 Chronicles 4:9
Akatengeneza ukumbi wa makuhani na ukumbi mwingine mkubwa na milango yake, naye akaifunika hiyo milango kwa shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Akaweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini mashariki ya nyumba.
Cross References
1 Kings 6:36Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa.
2 Kings 21:5Katika nyua zote mbili za Hekalu la Bwana, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani.