2 Chronicles 4:8
Akatengeneza meza kumi na kuziweka hekaluni, tano upande wa kusini na tano upande wa kaskazini. Pia akatengeneza mabakuli 100 ya dhahabu ya kunyunyizia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 37:10Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 37:10 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, + 37:10 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Isaiah 25:6Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa 2 karamu ya vinono kwa mataifa yote, 1 karamu ya mvinyo wa zamani, 2 nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. 1
Jeremiah 52:19Jemadari wa askari walinzi wa mfalme akachukua yale masinia, vile vyetezo, yale mabakuli ya kunyunyizia, zile sufuria, vile vinara vya taa, zile sahani na yale mabakuli yaliyotumika kwa sadaka za vinywaji, vitu vyote vile vilivyokuwa vimetengenezwa kwa dhahabu safi au fedha.
Zechariah 14:20Katika siku hiyo, kengele zilizofungwa kwenye farasi zitaandikwa maneno haya: Takatifu kwa Bwana, navyo vyungu vya kupikia katika nyumba ya Bwana vitakuwa kama bakuli takatifu mbele ya madhabahu.
1 Corinthians 10:21Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani pia.