2 Chronicles 5:7
Makuhani wakalileta Sanduku la Agano la Bwana hadi mahali pake ndani ya sehemu takatifu ndani ya Hekalu, yaani Patakatifu pa Patakatifu, na kuliweka chini ya mabawa ya makerubi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 6:23Katika Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi + 6:23 Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5. kwenda juu.
2 Chronicles 4:20vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya sehemu takatifu ya ndani kama ilivyoelekezwa; 1
Psalms 132:8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1