2 Chronicles 6:11
Nimeliweka humo Sanduku la Agano, ambamo ndani yake kuna lile Agano la Bwana alilofanya na watu wa Israeli.” 1 Maombi Ya Solomoni Ya Kuweka Wakfu (1 Wafalme 8:22-53)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 40:20Akachukua ule Ushuhuda na kuuweka ndani ya Sanduku la Agano, akaweka ile mipiko ya kubebea hilo Sanduku na kuweka kiti cha rehema juu yake.
1 Kings 8:21Nimetenga nafasi humo kwa ajili ya Sanduku la Agano, ambamo ndani yake kuna lile Agano la Bwana alilofanya na baba zetu wakati alipowatoa Misri.” 1 Maombi Ya Solomoni Ya Kuweka Hekalu Wakfu (2 Nyakati 6:12-42)
2 Chronicles 5:10Ndani ya Sanduku hapakuwepo kitu kingine chochote isipokuwa zile mbao mbili ambazo Mose alikuwa ameziweka ndani yake huko Horebu, mahali ambapo Bwana alifanya Agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri.